
Taarifa ya habari ya Star tv ya saa mbili usiku ya tarehe 23/11/2012
imeeleza kuwa wanafunzi wa kike katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
wanadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali ya
starehe mjini Dodoma!
Habari hii inasikitisha hasa ukizingatia
umuhimu wa wasomi hawa katika Tanzania na hatari inayoweza kuwapata kama
taarifa hii ina ukweli.
Kama jamii tujiulize, tatizo ni nini mpaka
mtu wa level kama hiyo kuamua kuvaa vichupi na kujiuza kwenye clubs na
sehemu...